PRINT THIS PAGE MAFUNZO YA PHP LEVEL 3 SOMO LA 5 PUBLISHED ON 2022/05/15/SUNDAY - 07:57:22 PM PUBLISHED BY:ADMIN MAFUNZO YA PHP LEVEL 3 SOMO LA 5 Katika somo hili utakwenda kujifunza matumizi ya hizi php functions ambazo bi require(), require_once(), include(), include_once(). INCLUDE, REQUIRE, INCLUDE_ONCE na REQUIRE_ONCE Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu matumizi ya hizi function 3 ambazo kwa pamoja zinahusika na kuhusisha kuhusisha mafaili ya code kwenye mafaili mengi, bila ya kuziandika kila wakati. include() Incdude hutumika kama unataka kutumia code za faili falni kwenye faili lingine. Kwa mfano unataka kuunganisha database. Sasa kuna mafaili 10 ambayo yanahitaji kutumia database. Hivyo katika hali ya kawaida itakubidi uandike code za kuunganisha database kwenye mafaili yote hayo. Hivyo basi kwa kutumia include tutaandika code hizo kwenye faili moja. Kisha tutatumia function hii ili kuweza kuzitumia kwenye mafaili yote hayo. Kwa mfano tunataka kuwe...
Plasings
Tyuna dili na photograph Software and adware intarnt software phone and technology computer repair
- Kry skakel
- X
- E-pos
- Ander programme